How to convert power of business
Online Kuwa tajiri nini maana yake?
Maana yake una tabia nyingi za kitajiri
Kamavile BIDII ,ujasiri,hesima,nidhamu,kujiamini,mawazo chanya,kujitegemea,na kutegemewa na wengine utulivu wa akili msiri usafi mambo ya kumpendeza MUNGU wabunifu wana msaada busara na hekima WAPENDA maendeleo ya wengine wavumilivu wasio kata Tamaa Tamaa kiufupi utajiri ni njia ya kumpendeza MUNGU
NINI MAANA YA KUWA MASIKI ✍✍Unaweza kuwa masikini bila ya kuji tambua kuwa wewe ni maskini maana hata mulevi ukimwambia amelewa ana kuwa mkariii vivuo hivyo hata wewe unaweza kuwa masikini bila ya kuji tambua kuwa wewe ni masiki kuna mambo au tabia za kuchunguza kwako ikiwa utaziona au unazo baadhi ujue kuwa una dalili za umasikini na jjue kuwa dalili ya mvua ni ...mawingu 👇👇👇✍ uvivu,woga,dharau, uzinzi,ulevi,kutojiamini, utovuwanidhamu,roho mbaya, roho ya kwanini matumizi mabaya ya mali ✍ubinafsi rohoya husda unafiki umbea ,kukosa siri,kutegea na kuombaomba
Fujo,kelele,uchafu,uongo Uchawi, imani za kishilikina tuu nk HATA KIPOFU ANA ONA PESA PIA KUFERI SHURE SIYO KUFERI MAISHA by Isack24onilne 🤳🤳🤳0758892100 WhatsApp
Comments
Post a Comment