MASHARITI YA KUPATA PESA FACEBOOK
Najua wengi sana wana subilia kupiga pesa kutoka kwa meta kipitia Facebook page
Bila shaka hayo ni maamzi mazuli sana
Lakini kumbuka kuwa unaweza kuwa na follows wengi hata 5000 nk usilipwe kwakuwa kuna vigezo meta ana vigitaji sana leo nita kujuza kwa uchache tuu vigezo vya mhimu ambavyo ni vya kuzingatia ili ulipwe Facebook page
1 Hakikisha Facebook page yako inamajina halisi yani mf JONAS James Peter
2 taarifa zako za DOCUMENT zako ziwe sahihi andaa taarifa yako iwe ina eleweka
3 Uwena tin number
4 Uwena kadi ya benk maana wanalipa kwa njia ya kadi ya benk nitaendelea kutoa elimu zaidiii asante
Comments
Post a Comment